Mzee Kizito anamwagiza Cheche abadilishe picha ya marehemu mke wake, Vingawaje, kwa ajili ya Maulid yajayo.\r
\r
Maisha ya Duma mpenda starehe yanazidi pia kuwa magumu, hasa pale anapokorofishana na Masharubu, baba wa malkia wake, Nusura.\r
\r
Lakini mshangao mkubwa zaidi kuliko yote ni ule wa Mzee Kizito kukiri kwa mjomba wake Mawazo kwamba angependa kuoa mke mwingine kuziba pengo la Vingawaje.\r
\r
\r
--------------\r
\r
\r
Mzee Kizito commissions Cheche to replace a photograph of the late Vingawaji, the polygamists wife, for the upcoming mauled. Cheche cant find the negative. Not wishing to let down his father-in-law, he decides to photograph Vingawajis lookalike daughter, Sabrina. But Kizitos first wife, Farida, smells a rat. Cheche knows hes being watched, and the last thing he wants is for Cheusis family to find out about his affair with Tula.\r
\r
Playboy Dumas life is getting more complicated, too, as he gets on the wrong side of his angel Nusuras father, Masharubu. \r
\r
But the biggest surprise of all is Mzee Kizito who admits to his brother, Mawazo, that hed like to take on another wife to replace Vingawaji!\r
\r
-----------------\r
\r
Swahiliwood.com ni tovuti ya video ya kwenye mtandao iliyo rasmi kwa vipindi vya kiswahili. Kuanzia documentary mpaka maigizo, ucheshi na vipindi vingine vya runinga. Tunakuletea kiwango cha juu cha ubora wa burudani za Kiswahili kutoka Afrika Mashariki kwa Afrika Mashariki.\r
\r
Bongo Filamu

Category
📺
TV