• 8 years ago
Please LIKE, Share And SUBSCRIBE Our Youtube Channel.
Hii ilikuwa ni sherehe ya 40 ya mtoto wa Aunty Ezekiel na Moze Iyobo.
Mpenzi wa zamani wa Moseiyobo ameelezea jinsi Aunty Ezekiel alivyoingilia mapenzi yao wakati walikua marafiki.

Msanii wa filamu(Bongo Movie) Aunty Ezekiel akishow love na mwanae cookie. Aunty Ezekiel amezaa na mcheza shoo wa mwanamuziki Diamond Platinumz .

Category

📺
TV

Recommended