• 8 years ago
Ligi Kuu Soka Tanzania bara inaendelea leo December 23 2016 kwa Yanga kucheza dhidi ya African Lyon katika uwanja wa Uhuru Dar es Salaam, katika mchezo huo uliyomalizika kwa sare ya goli 1-1 magoli yalifungwa na Ludovic Venance dakika ya 59 kwa African Lyon na Amissi Tambwe kwa Yanga dakika ya 74.

Recommended