• 7 years ago
Ajali yaua mtu mmoja na kujeruhi wanne mkoani Arusha baada ya basi la abiria linalofanya safari zake kutoka Arusha kwenda Moshi kugonga gari lenye tela .
Ajali nyingine yaua na Kujeruhi Mkoani Tanga. Kabla Majonzi ya vifo vya wanafunzi wa Shule ya Lucky Vincent hayajaisha wala kupungua ajali nyingine ya .
Taifa liliamkia taarifa za ajali mbaya ya barabarani. Watu 41 walifariki mkesha wa leo, pale basi walimokuwa wakisafiria lilipopata ajali katika eneo la Ntulele .

Katika hali ya kusikitisha watu 6 wafariki dunia mkoani Morogoro baada ya gari aina ya Noah kugongana na Basi katika hifadhi ya Mikumi.

Category

📺
TV

Recommended