Full Video: ASLAY Amtoa Machozi Mama Nandy, Escape 1
Ni usiku wa shoo kubwa na kabambe kutoka kwa wasanii wanaofanya vizuri na ngoma yao ya 'Subalkher' Nandy na Aslay, iliyofanyika katika ukumbi wa Escape One, Mikocheni jijini Dar es Salaam.
Shoo hiyo iliandaliwa maalum kwa ajili ya kusheherekea sikukuu 'Valentines Day' ambapo walipata fursa ya kuwaburudisha mashabiki kwa kila mmoja kuimba ngoma zake na baadaye wakaziamsha hisia za wapendanao waliofika ukumbini hapo kwa kuimba kwa pamoja nyimbo yao yenye ujumbe mzito wa mapenzi ya 'Subalkher'.
Wakati akipafomu wimbo wake wa 'Mama' Aslay, alizigusa hisia za mashabiki waliofika ukumbini hapo akiwemo mama wa msanii Nandy ambaye alionekana kutamani kulia, kutokana na maneno aliyokuwa akiongea Aslay ya kuelezea uchungu alionao juu ya kifo cha mama yake mzazi.
Full Video: ASLAY Amtoa Machozi Mama Nandy Escape 1
Install #GlobalPublishersApp
Android:
iOS:
Subscribe
FACEBOOK: ... TWITTER: Visit , Subscribe
kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… WEBSITE: FACEBOOK: ... TWITTER: INSTAGRAM: ..

Category
🗞
News