SERIKALI YATOA WARAKA WATUMISHI WARUHUSIWE KUHAMA VITUO VYA KAZI

  • 6 years ago
SERIKALI kupitia Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma, Dk. Laurean Ndumbaro waajiri nchini wasiwazuie watumishi kuhama kutoka Halmashauri au Taasisi moja kwenda nyingine na Tayari imeshatoa waraka kuhusiana na suala hilo.

Category

People

Recommended