• 6 years ago
Klabu ya Simba Sc imeondoka jijini Dar es salaam kuelekea Misri kwa ajili ya mpambano wa marudiano wa kombe la shirikisho Afrika. Klabu hiyo imeondoka leo ikiwa na wachezaji 20 ambapo wanatarajiwa kucheza na Al -Masry Machi 17.

Category

🥇
Sports

Recommended