• 7 years ago
Waziri wa Mambo ya ndani ya nchi Kangi Lugola amefika katika studio za MCL Digital na kufanya mahojiano na waandishi wa Mwananchi, The Citizen kuhusu mambo mbalimbali, moja kati ya mambo aliyoyagusia ni Timu ambayo anaipenda kimataifa na yeye anashabikia timu gani katika Kombe la dunia, pia kazungumzia burudani pamoja na kutaja wasanii wanaomvutia nchini Tanzania.

Recommended