SIMBA DAY 2018: Jaribio la Haji Manara ‘kumsilimisha’ baba yake lilivyoshindikana Taifa

  • 6 years ago
Kabla ya kuanza kutambulisha vikosi vya Simba, Msemaji wa timu hiyo Haji Manara aliwaita wachezaji wa zamani wa Yanga Sunday Manara na mchezaji wa zamani wa Simba Abdallah Kibaden lakini jaribio lake la kumvalisha Sunday Manara jezi ya Simba likagonga mwamba.

Tazama ilivyokuwa.

Recommended