Baadhi ya vyakula na mitindo ya kimaisha ni baadhi tu ya sababu za watu kuongeza uzani kupita kiwango cha kawaida hali ambayo inahatarisha maisha ya wengi.
Rachael Mugambi alipata fursa kuzungumza na Stella saisi aliyekuwa na uzani kupita kiasi kabla ya kufanikiwa kuupunguza kwa zaidi ya kilo 100 katika muda wa mwaka mmoja kwenye makala ya leo ya Rai Mwilini.

Category
🗞
News