"Baada ya wahusika kuona tunawakaribia walichukua maamuzi haya kwa Mo Dewji" Kamanda Mambosasa
Kamanda kanda maalumu ya Dar es Salaam Lazaro Mambosasa ameelezea namna watekaji walivyoogopa namna Jeshi la Polisi lilivyokuwa linawakaribia katika ngome yao.