Awamu Ya Pili Ya Kazi Mtaani Yaanza Rasmi

  • 4 years ago
Awamu ya pili ya mradi wa kazi mtaani ikizinduliwa kote nchini malipo ya kila siku sasa yamepunguzwa kutoka shilingi mia sita kwa siku hadi shilingi mia nne. Akizindua mradi huo katibu mkuu kwenye wizara ya teknolojia na mawasiliano Jerome Ochieng amesema hatua hiyo nikutokana na ongezeko la watu waliosajiliwa kwa awamu ya pili.

Recommended