Kenya Yakabiliwa Na Uhaba Wa Mitungi Ya Gesi Ya Oksijeni

  • 3 years ago
Uhaba Wa Mitungi Ya Gesi Ya Oksijeni Katika Hospitali Mbalimbali Nchini Unazidi Kuibua Wasiwasi Miongoni Mwa Wakenya Huku Wagonjwa Wengi Wakiwa Katika Hatari Ya Kufariki Iwapo Hali Hiyo Haitatatuliwa. Washikadau Katika Sekta Ya Afya Wanasema Uhaba Huo Unafanya Utendakazi Hospitalini Kuwa Mgumu Hata Zaidi.

Recommended