• 3 years ago
Visa Vya Maambukizi Ya Corona Nchini Vinaendelea Kuongezeka Kwa Kiasi Kikubwa. Katika Saa 24, Wizara Ya Afya Ya India Imesajili Vifo 3,293 Vinavyohusiana Na Maambukizi Ya Corona, Na Hivyo Kuifanya Idadi Kamili Ya Watu Waliofariki Hadi Sasa Kufikia 201,187. Shirika La Afya Duniani Limetaja Ongezeko Hili Kuwa La Kuvunja Moyo.

Recommended