Riadha Za Chipukizi Wasiozidi Miaka 20 Kuandaliwa Kasarani Agosti 17

  • 3 years ago
Mshindi Wa Medali Ya Fedha Afrika Katika Mchezo Wa Kurusha Mkuki Kwa Kinadada Martha Nthanze Musai Na Bingwa Wa Kurusha Mkuki Katika Mashindano Ya Shule Za Upili Kanda Ya Afrika Mashariki Wilson Lentunyei Wapo Tayari Kutamba Katika Mashindano Ya Riadha Za Dunia Kwa Chipukizi Wasiozidi Umri Wa Miaka 20.