Maafisa 6 Wa Polisi Waliohusika Na Mauaji Iliyofanyika Kianjokom Kusalia Rumande

  • 3 years ago
Imeibuka Kuwa Gari La Polisi Lililotumika Wakati Wa Mauaji Ya Ndugu Wawili Eneo La Kianjokoma Kaunti Ya Embu Limeteketezwa.Hayo Ni Kulingana Na Mwenyekiti Wa Chama Cha Mawakili Nchini Nelson Havi Anayewakilisha Familia Ya Ndugu Hao Wawili Mahakamani.Hata Hivyo Hayo Yakijiri Mahakama Imeamuru Maafisa Hao Sita Wa Polisi Kusalia Rumande Kwa Siku 14 Zaidi Huku Uchunguzi Ukiendelea.Mwanahabari Milliah Kisienya Na Taarifa Zaidi…….

Recommended