Godson Chagema Kushiriki Majaribio Katika Akademia Ya Man United

  • 3 years ago
Mchezaji Chipukizi Wa Soka Godson Chagema Kutokea Kaunti Ya Nakuru Anajiandaa Vistadi Baada Ya Kupata Nafasi Ya Adhimu Ya Kufanya Majaribio Na Timu Ya Chuo Kikuu Cha Salford Nchini Uingereza.Matumaini Ya Kusalia Uingereza Kwa Chipukizi Huyu Ni Mengi Zaidi.

Recommended