Wanariadha Waitaka Serikali Kuboresha Nyuga Na Maeneo Ya Mazoezi.

  • 3 years ago
Wanariadha Wa Humu Nchini Sasa Wanazitaka Serikali Za Kaunti Na Ile Ya Kitaifa Kuboresha Viwango Vya Nyuga Na Maeneo Ya Kupigia Mazoezi.Wanariadha Hawa Walizungumza Haya Katika Kikao Cha Wanariadha Kilichowavutia Zaidi Ya Wanariadha 500 Eneo La Iten Kwa Hisani Ya Shirikisho La Riadha Nchini AK.

Recommended