Duale Amesema Kuwa Atashirikiana Na Chama Cha UDA

  • 3 years ago
Mbunge Wa Garissa Township Aden Duale Ameshikilia Kuwa Yuko Tayari Kushindana Na Mgombea Ambao Atapendekezwa Na Wazee Wa Jamii Ya Wasomali Kaunti Ya Garissa. Duale Amesema Kuwa Atashikilia Msimamo Wake Kushirikiana Na Chama Cha UDA Katika Uchaguzi Mkuu.

Recommended