CHRISTMAS NOEL_(Official Video-HD)

  • 3 years ago
CHRISTMAS NOEL_(Official Video-HD)

Kristmas Noel ni wimbo uliotungwa naye Tumaini Swai. Ni wimbo wa Sikukuu ya kuzaliwa kwa mwokozi wetu Yesu Kristu. Tujinyenyekeze ili mtoto Yesu aweze kuzaliwa mioyoni mwetu. Karibuni kuutazama na mbarikiweni sana.


Special appreciation to;
Producer: Alex Lobulu,Aflob Studio, Arusha(Kijenge).
Mtunzi: Tumaini Swai.
Waimbaji: Anastacia Muema Ft Lawrence Kameja & Tumaini Swai.

Audio na Video zimefanyika katika Studios za AFLOB

Recommended