Utekaji Nyara Thika

  • 2 years ago
Polisi Eneo La Thika Mashariki Wameanza Upelelezi Wa Tukio Ambalo Watoto Wanne Wanadaiwa Kutekwa Nyara Nyumbani Kwao Eneo La Gatuanyaga Na Watu Wasiojulikana. Watoto Hao Wanne Wameleza Kuwa Waliwekwa Katika Chumba Kidogo Ambapo Watoto Wengine Watatu Walikuwa Wametekwa Nyara.

Recommended