Serikali Kuchukua Hatua Kali Kwa Kiongozi Atakayechochea Uhasama

  • 3 years ago
Wakimbizi Wa Ndani Kwa Ndani,Katika Kaunti Ya Laikipia Na Nyandarua Wanaandamana Kwa Sababu Ya Maneno Ya Chuki, Yaliyotolwa Na Seneta Wa Meru Mithika Linturi Katika Mkutano Wa Kisiasa Mjini Eldoret. Wakimbizi Hao Waliofukuzwa Makwao Katika Machafuko Ya Baada Ya Uchaguzi Wa 2008, Wanasema Kuwa Maneno Ya Linturi "Madoadoa" Yanaendeleza Vurugu Kati Ya Wakenya.

Recommended