Viongozi Kutoka Mbeere Kusini Kaunti Ya Embu Wameorodhesha Uhaba Wa Maji Na Chakula Kama Changamoto Kuu Inayotatiza Masomo Ya Wanafuzi Shuleni. Aidha Wametoa Ombi Kwa Serikali Na Wafadhili Kusambaza Chakula Cha Msaada Ili Kuhakikisha Watoto Wanasalia Shuleni.
Category
🗞
News