• 2 years ago
Kufuatia Madai Ya Aliyekuwa Waziri Wa Usalama Wa Ndani Fred Matiang'i Ya Jaribio La Kukamatwa Siku Ya Jumatano Usiku, Mawakili Wa Matiang'i Wanadai Kuwa Polisi Walijaribu Kumkamata Mteja Wao Kinyume Cha Sheria. Matiang'i Ameomba Mahakama Kutoa Agizo La Kuwakomesha Polisi Kumkamata Au Kumshitaki. Leo Timu Ya Wanasheria Wametaka Haki Itawale Na Kama Iwapo Labda Kuna Jambo Linalodaiwa Kufanywa Na Matiang'i, Apewe Kila Haki Ya Uraia Inayohusika Kwa Kila Raia Nchini.

Recommended