Watu Nane Wameokolewa Huku Mmoja Akifariki Na Wengine Watatu Waliofunikwa Na Mchanga Katika Shimo La Migodi Eneo La Shinyalu Sigalagala Wakiendelea Kusakwa..Inaarifiwa Kuwa Mchanga Ulikatika Wakati Watu 12 Ambao Waliku Ndani Mwa Mgodi Walikuwa Wakiendelea Na Shughuli Zao Kuchimba Migodi Majira Ya Usiku.
Category
🗞
News