Waziri Wa Barabara Kipchumba Murkomen Amewahakikishia Wafanyikazi Wa Bandari Ya Kuwa Seriklai Itaboresha Utendkazi Na Huduma Ili Mataifa Jirani Yasije Yakipiku Bandari Katika Huduma Na Pia Mapato. Vilevile Murkomen Amesema Mikakati Imewekwa Ili Kuwafidia Watu Walioathirika Na Ujenzi Wa Barabra Kuu Ya Dongo Kundu.
Category
🗞
News