• 2 years ago
Baada Ya Kinara Wa ODM Raila Odinga Kutoa Onyo La Kufurushwa Chamani Kwa Wabunge Walioshiriki Kikao Na Rais Dkt. William Ruto Na Naibu Wake Wiki Jana, Tawi La ODM Bondo Kaunti Ya Siaya Limeanzisha Mikakatai Ya Kuwaondoa Wanachama Hao Wanaodaiwa Kukiuka Sheria Za Chama.

Recommended