Ukosefu Wa Karo Kwa Wanafunzi Wanaopania Kujiunga Na Shule Za Upili Kuna Waweka Katika Hatari Watoto Wasichana Wa Kupata Mimba Za Mapema Hasa Katika Maeneo Ya Kilifi Na Tana River . Wazazi Masikini Wametoa Ombi Kwa Serikali Na Wahisani Kusaidia Wanafunzi Ambao Wazazi Wao Hawajiwezi Kujiunga Na Shule Za Sekondari Katika Kijiji Cha Kanagoni, Kadzo Wanje Anahofia Ya Kwamba Huenda Mapacha Wake Wawili Wakike Waliopata Alama 363 Na 369 Hawataweza Kujiunga Na Shule Ya Mwasere Ambapo Waliitiwa Baada Ya Kukalia Mtihani Wa Kcpe Mwaka 2022 Katika Shule Ya Msingi Ya Bandacho.
Category
🗞
News