Baadhi Ya Wabunge Kutoka Eneo La Mlima Kenya Wamependekeza Kuwepo Kwa Marekebisho Katika Mfumo Wa Kugawa Fedha Za Ustawi Wa Maeneo Bunge Maarufu CDF, Ili Kila Eneo Bunge Lipate Pesa Kulingana Na Idadi Ya Watu Wala Si Kwa Ukubwa. Wabunge Hao Wametaja Mfumo Uliopo Wa Kugawa Pesa Za Ustawi Wa Maeneo Bunge Ni Baguzi Huku Wakisema Watasaka Ungwaji Mkono Kutoka Kwa Wabunge Wengine Wa Eneo La Mlima Kenya Katika Kuwasilisha Mswada Huo Bungeni.
Category
🗞
News