• 2 years ago
Nchi Inapoingia Leo Kwa Maombi Yanayoongozwa Na Rais Wiliam Ruto, Kasisi Shem Ngiki Wa Kanisa La Athiriver Kenya Southern Baptist Church Anatembea Kilomita 237 Kutoka Mtito Andei, Kaunti Ya Makueni Hadi Ikulu Ya Nairobi. Anadai Kwamba Alipewa Jukumu Na Mungu Kutembea Hadi Ikulu Ili Kupeleka Ujumbe Kwa Rais. Aliongeza Kuwa, Alianza Safari Jumapili Na Kuna Uwezekano Mkubwa Atakuwa Ikulu Kufikia Kesho. Mwanadada Huyo Alikuwa Amevalia Mavazi Ya Rangi Nyekundu, Anafichua Kuwa Hiyo Ni Ishara Ya Upendo, Upendo Kwa Nchi Zaidi Ya Rais.

Recommended