Miungano Ya Wahudumu Wa Afya Nchini Vinapinga Vikali Uamuzi Wa Serikali Wa Kuongeza Kandarasi Za Wafanyikazi Wanaofanya Kazi Chini Ya Mpango Wa Afya Kwa Wote Uhc Wakitaka Zisitishwa. Haya Yanajiri Baada Ya Ripoti Kuwa Mwenyekiti Wa Baraza La Magavana Anne Waiguru Katika Mawasiliano Na Wafanyikazi Wa Afya Kusema Ajira Yao Itaongezwa Kwa Miaka Mitatu, Ikiwa Kinyume Na Matakwa Ya Vyama Vya Wahudumu Wa Afya Kwamba Wapewe Masharti Ya Kudumu Na Ya Pensheni.
Category
🗞
News