• 2 years ago
Gavana Wa Machakos Wavinya Ndeti Amesema Kinara Wa Azimio Raila Odinga Hana Budi Kumuunga Mkono Kinara Wa Wiper Kalonzo Musyoka Katika Uchaguzi Ujao Mwaka Wa 2027. Wavinya Amesema Huenda Raila Akakosa Uungwaji Mkono Wa Jamii Ya Akamba Iwapo Atampuuza Kinara Wa Wiper Msimu Ujao Wa Uchaguzi.

Recommended