• 2 years ago
Maandalizi Ya Mkutano Wa Azimio Hapo Kesho Katika Kaunti Ya Kisumu Yameshika Kasi Huku Mkutano Huo Ukitarajiwa Kuandaliwa Katika Uga Wa Moi.Kamati Andalizi Ya Mkutano Huo Imesema Mkutano Huo Hautafanyika Ndani Ya Uga Huo Mbali Nje Ili Kuzuia Uharibu Wa Uga Wa Moi.

Recommended