Wakala Wa Visa Vya Israeli Jijini Mombasa Teddy Onsomu Ndemo, Anakabiliwa Na Mashtaka Ya Utapeli . Hakimu Mkazi Wa Mombasa Viola Muthoni Amemuwachiliwa Teddy Kwa Bondi Ya Ksh 100,000 Pamoja Na Mhakiki Mmoja Au Dhamana Mbadala Ya Fedha Ya Ksh 70,000. Onsomu Amekanusha Mashitaka Katika Kesi Ambayo Anashtakiwa Kwa Kumlaghai John Ndirangu Githinji Ksh 210,000 Pamoja Na Milioni 6 Za Kampuni Kwa Kuwatolea Vyeti Ghushi Vya Visa Za Kusafiri nchi Ya Israeli.
Category
🗞
News