• 2 years ago
Wazazi Kutoka Kuanti Ya Kilifi Wameonywa Dhidi Ya Habari Za Uongo Kuhusu Hali Yao Ya Kifedha Wanapo Tafuta Ufadhili Wa Masomo Ya Wanao. Gavana Wa Kaunti Hiyo Gideo Mung'aro Amesema Visa Kadhaa Vimeripotiwa Katika Kaunti Hiyo Pale Baadhi Ya Wazazi Wamekiri Kuwa Maskini Ili Waweza Kupata Pesa Kutoka Kwa Wahisani Mbalimbali Ambao Wanajihisusha Na Miradi Ya Kuwasaidia Wanafunzi Wasiojiweza. Gavana Mung'aro Wakati Huo Huo Ametoa Wito Kwa Wazazi Wenye Uwezo Wa Kuwasaidia Watoto Wao Wasing'ang'anie Nafasi Za Ufadhili Na Watoto Maskini.

Recommended