• 2 years ago
Waziri Wa Usalama Na Utawala Wa Kitaifa Profesa Kithure Kindiki Ametoa Amri Kwa Asasi Zote Za Kiusalama Na Utawala Kuanzisha Msako Wa Wanakandarasi Na Wajenzi Ghushi Na Ambao Hawana Stakabadhi Zinazohitajika Na Serikali . Waziri Kindiki Walikuwa Akizungumza Katika Hafla Ya Uzinduzi Wa Shule Ya Msingi Ya GSU Eneo La Kimbo Ambapo Alisema Wanakandarasi Hao Ndiyo Wanasababisha Majengo Kuporomoka Na Kuwaua Watu. Mwaka Jana Majengo Zaidi Ya Tano Yaliporomoka Sehemu Mbalimbali Jijini Na Viungani Mwake.

Recommended