Juhudi Za Kuusafisha Mto Nairobi Zimeng'oa Nanga Kwa Kishindo, Kufuatia Kuzinduliwa Kwa Tume Ya Kushughulikia Usafishaji Wa Mto Huo. Rais William Ruto Na Naibu Wake Rigathi Gachagua Wameshiriki Uzinduzi Huo Mtaa Wa Kaorogocho, Na Kusema Jamii Zinazoishi Mkabala Na Mto Huo Zitahusishwa Moja Kwa Moja. Umoja Wa Matifa Kupitia Tawi Lake La Mazingira Imepongeza Hatua Hiyo Na Kusema Ni Hatua Nzuri Ya Kuondoa Janga La Kimazingira.
Category
🗞
News