• 2 years ago
Waziri Wa Usalama Wa Ndani Professa Kithure Kindiki Amekashifu Vikali Za Disco Matanga Akiziangazia Kama Zinazoathiri Watoto Haswa Wa Kike. Akizungumza Kilifi Katika Uzinduzi Wa Afisi Mpya Ya Naibu Kamishna Wa Kaunti Hiyo Proffesa Aliagiza Ushirikiano Na Wakaazi Ili Kuboresha Viwango Vya Usalama Mbali Na Kusitiri Nidhamu Katika Jamii.

Recommended