Vijana Katika Kaunti Ya Murang'a Wanatarajiwa Kuwafidika Na Mradi Wa Nyumba Za Bei Nafuu , Huku Wanyakuzi Wa Ardhi Wakitaadharishwa. Wakati Huo Serikali Iki Taja Kwamba Haitokubali Wastawishaji Wa Kibinfasi Kuingia Katika Shamba Zinazo Milikuwa Na Umma Na Zilizotengewa Kwa Mradi Huo . Akizungumza Katika Kaunti Ya Murang'a Mkurungenzi Wa Mradi Huo Wa Nyumba Za Bei Nafuu Wilson Irungu Amehakisha Kwamba Serikali Inapanga Kuanzisha Mradi Huo Ili Kuwasaidia Siyo Tu Vijana Bali Pia Wafanyakazi Wauma.
Category
🗞
News