• 2 years ago
Wakaazi Wa Dongokundu Eneo La Kisiwani Katika Wadi Ya Dabaso Kaunti Ya Kilifi Wametoa Wito Kwa Serikali Ya Kaunti Kukamilisha Kilomita Moja Ya Dajara Inayounganisha Kisiwa Hicho Na Bara . Wakaazi Watapao 500 Wanaoishi Katika Sehemu Hiyo Wameathirika Na Kutokamilishwa Kwa Daraja Hilo Lilioanzishwa Na Serikali Ya Kaunti Wakisema Wanatatizika Katika Kupata Huduma Za Kila Siku Pamoja Na Watoto Kuenda Shuleni.

Recommended