Waziri Wa Usalama Wa Ndani Professa Kithure Kindiki Amesema Kuwa Wizara Yake Inahitaji Ufadhili Wa Bunge Ili Kuwaangazia Wezi Wa Mifugo Kama Magaidi Tokana Na Visa Vya Mashambulizi Hivi Majuzi. Akiwa Mbele Ya Kamati Ya Seneti Ya Uwiano Na Utangamano Professa Kindiki Alisema Kuwa Serikali Ilikuwa Ikitumia Asasi Zake Vilivyo Kuwahakikishia Usalama Wakenya.
Category
🗞
News