• 2 years ago
Serikalia Ya Kaunti Ya Embu Imesema Inalenga Kutatua Tatizo La Uhaba Wa Maji Katika Maeneo Kame Ya Mbeere Kusini Na Kaskazini Kwa Lengo La Kufanya Wakaazi Wa Kaunti Hiyo Kuwa Na Chakula Cha Kutosha. Wakati Huo Huo Gavana Ceciliy Mbarire Ametangaza Kwamba Tayari Wameanza Shughuli Ya Uchimbani Wa Visima Kutatua Swala Hilo

Recommended