Huku Maelfu Ya Wanafunzi Waliofuzu Katika Mtihani Wa Msingi (KCPE) 2022 Wamejiunga Na Shule Za Sekondari, Dorine Idza Hana Mbele Wala Nyuma Asijue Iwapo Ndoto Yake Ya Kuingia Sekondari Itatimia.Dorine Mwenye Miaka 15, Alipata Alama 310 Mwaka Wa 2022 Kisauni Ndogo Ya Kaunti Ya Mombasa Alikokuwa Akisomea Chini Ya Udhamini.
Category
🗞
News