Tume Ya Maadili Na Ufisadi (Eacc) Imefichua Kuwa Inafuatilia Kwa Karibu Ukaguzi Wa Vitabu Vya Hesabu Vya Kaunti Kando Na Malipo Yanayofanywa Na Hazina Za Kaunti Pamoja Na Visa Vya Wafanyikazi Hewa.Aidha Tume Hiyo Imefichua Hoja Kuhusu Visa Vya Maafisa Wa Serikali Kuu Na Wa Kaunti Kupatikana Na Vyeti Ghushi.
Category
🗞
News