Hatimaye Aliyekuwa Waziri Wa Ndani Dkt. Fred Matiang'i Alijiwasilisha Kwa Makachero Wa Dci Kiambu Kujibu Mwito Wa Afisi Hiyo Ya Ujasusi Kuhusu Madai Yake Ya Kuvamiwa Na Makachero Wa Kitengo Hicho Nyumbani Kwake Karen.Matiang'i Aliwasili Na Mawakili 14 Kujibu Mwito Huo Baada Ya Kukika Mwito Sawa Na Huo Wiki Jana.
Category
🗞
News