Aliyekuwa Waziri Wa Usalama Wa Ndani Dkt.Fred Matiang'i Amefika Katika Makao Makuu Ya Dci Hii Leo. Matiang'i Amehojiwa Kuhusu Madai Ya Kuchapisha Taarifa Za Uongo, Kujitokeza Kwake Kunafuatia Wito Wa DCI Jumatatu. Siku Ya Matiangi Kufikishwa Mbele Ya Mahakama Bado Haijatolewa .Matiang'i Anatuhumiwa Kwa Kueneza Habari Za Uwongo Kuhusu Madai Ya Kuvamiwa Na Kundi La Maafisa Wa Polisi Katika Makazi Yake Ya Karen Tarehe 8 Na 9 Februari 2023.
Category
🗞
News