Wakaazi Wa Chakama Kaunti Ya Kilifi Wamedai Kwamba Ukosefu Wa Wazazi Wengi Kuwapeleka Watoto Wao Katika Shule Za Upili Unachangiwa Na Hali Ya Ukame Inayoshuhudiwa Nchini Pamoja Na Uvamizi Wa Ndovu .Licha Ya Serikali Kusukuma Mpango Wa Asilimia 100 Ya Mpito Kutoka Shule Ya Msingi Hadi Sekondari ,Wazazi Hasa Wanaotegemea Kilimo Wanasema Hawaja Pata Pesa Kufutia Kiangazi Kinachoshuhudiwa.
Category
🗞
News