Waziri Wa Mambo Ya Ndani Kithure Kindiki Amebadilisha Tena Makamishna Wa Kaunti Kote Nchini Katika Kile Wizara Inasema Kuongeza Huduma Vyema. Makamishna Wameregeshwa Katika Makao Makuu Ya Wizara Kwa Kupewa Maeneo Mapya Ya Kutoa Amri Za Kiusalama. Makamishna 15 Wamehifadhi Vituo Vyao Vya Sasa Wakati 20 Wamehamia Katika Kaunti Mbali Mbali.
Category
🗞
News