Katibu Mkuu Wa Chama Cha Jubilee Jeremiah Kioni Sasa Anamtaka Naibu Rais Rigathi Gachagua Kuwataja Maafisa Wa Serikali Waliohusika Katika Madai Ya Wizi Wa Shilingi Bilioni 24 Katika Serikali Ya Aliyekuwa Rais Uhuru Kenyatta.Kulingana Na Kioni,Muungano Wa Kenya Kwanza Unatumia Lawama Kutowatimizia Wakenya Aahadi Walizotoa.
Category
🗞
News