• 2 years ago
Wito Umetolewa Kujengwa Kwa Kituo Cha Watoto Katika Gereza La Wanawake La Kisii.Kulingana Na Afisa Msimamizi Wa Gereza Hilo Margaret Waithera,Serikali Na Mashirika Yasiyo Ya Kiserikali Ya Kushirikiana Hili Kuhakikisha Kuwa Watoto Wanaolelewa Gerezani Wanapata Mazingira Bora.

Recommended